sw.news

Francis Alitaka Barua Iliyopiga Marufuku Ekaristi Kwa Waprotestanti Kuwa "Siri"

Edward Pentin alidhibitisha ripoti kwamba Shirika la Mafundisho ya Imani limetupilia mbali pendekezo la Maaskofu Wajerumani kuwapa Waprotestanti Ekaristi [ingawaje hili ni jambo la kawaida nchini humo].
Aliyempa Pentin habari hizo aliongeza kuhusu suala hili, hakuna "tofauti" kati ya Askofu Mkuu Ladaria na mtangulizi wake Kadinali Gerhard Müller.
Pentin amegubdua kwamba "Papa anaitaka barua [inayopiga marufuku pendekezo hilo] ibaki kuwa siri kwa sababu zisizojulikana".
Picha: © European Parliament, CC BY-NC-ND, #newsNmaxqrapam

203
oarielvillar

Familia Ingalls - T01 - Episodio Piloto Parte 2
Familia Ingalls - Temporada 1 - Episodio Piloto Parte 2

49:53
elfu 47
Videos para ver en Familia ameshirikisha hii

Para ver en familia

+54 2344476927 ameshirikisha hii

Me Encanta este capítulo.

sw.cartoon

Sinodi La Amazon: Bikra Maria Alimwambia Mtakatifu Bridget Kwamba Papa Atakayetupilia Mbali useja, Ataenda Jahanamu.
Picha: © gloria.tv, CC BY-ND, #newsDgykwtpshg

116
ig.news

Ozo: Pope Francis juru igbu ikpere na ihu ihe di nso

Pope Francis mere nmenme Corpus Christi na basilica nke Saint John Lateran. Nke bu nke mbu yaka agbanwere nmenme sita n'ubochi Thursday gaa na Sunday. Na ozi ya, Pope Francis kporo oriri nso dika nri di nwayo kwesiri ina akpoghachi nmuo ulo.
O juru irube isi mgbe o na-agosi oriri nso a dika emere ya ka oha hu ya. Osoghikwa mee ngaghari ma omechiri ya na Santa Maria Maggiore, ozo kwa osekwughi n'iri chineke.
#newsTxatxpswnn

110

Papa anakufa, Maisha Marefu kwa Papa!

Papa anakufa, Maisha Marefu kwa Papa!
Katika hali ya kutokuwa na uhakika na huzuni, mwangaza wa mwisho wa maisha ya papa mmoja unaashiria uwasili wa haraka wa mwingine – kama alivyokumbuka Mtakatifu Yohani Paulo II katika nyakati zake za mwisho. Papa Bergoglio, ambaye amewekwa chini ya utawala unaoongozwa na kardinali wenye utata – baadhi yao kujitajia “antipapa” (Kardinali Martini) na wengine ambao wamekubali kuwa walikuwa wa kundi linalojulikana kama “mafya takatifu”, yaani Kikundi cha Sankt Gallen (Kardinali Danneels) – amekumbwa na hali mbaya kiasi kwamba uvumi kuhusu uwezekano wa kuaga kwake duniani umeanza kusambaa.
Wakati huo huo, Idara ya Mawasiliano ya Vatikani inaendelea kutoa taarifa zisizo kamili na zilizo na upendeleo. Je, lengo ni lipi? Labda ni kuwafanya waumini wabaki katika hali ya kutokuelewa, kulinda maslahi ya ndani, au tu kuhifadhi uhuru wa kuchukua hatua mbele ya uwezekano wa kuondoka kwa Bergoglio, labda kupitia kukatishwa kwa madarakani au kwa sababu ya …Zaidi

31
sw.news

Wasenge Wamekosea - Binadamu Sio Akili Zilizojivua Mwili

Askofu Mkuu wa Jeshi la Marekani Timothy Broglio, akitoa maoni yake kuhusu uamuzi wa Rais wa Marekani Donald Trump kuwakataza wasenge kujiunga na kikosi cha wanajeshi, alisema kuwa tangazo hilo la Trump lilikosa kuzingatia umuhimu wa suala hilo: "Itikadi za kijinsia huzorotesha msingi wa utu wa Kikristo kwa kumfasili mtu huyo kuwa akili zilizojivua mwili na mwili wake kuwa chombo tu."
Na, "Masuala ya uelekeo wa kijinsia na utambulisho wa kijinsia hutoa taswira ya mwongezeko mwingi wa mtazamo usio sahihi wa kijamii kuwa tabia za kibinafsi maishani zafaa kufuata chaguo halisi la kibinafsi badala ya ukweli wa milele."
Picha: Timothy Broglio, #newsZwqlwynlvf

109
oarielvillar

Familia Ingalls - T01 - Episodio Piloto Parte 1
Familia Ingalls - T01 - Episodio Piloto Parte 1

47:16
elfu 14
Videos para ver en Familia ameshirikisha hii

Para ver en familia

sw.cartoon

Francis Alimwalika Kadinali Mjerumani Marx Kwa Muda Mfupi Kujadili Ekaristi Kwa Waprotestanti.
Picha: © gloria.tv, CC BY-ND, #newsZvbpsxnams

360
HP Y GC

Chapelet au Karmel

25:51
21
Guntherus de Thuringia

instagram.com/reel/DW5AYUrjByE/
David Icke

05:02
8
RAFAEL MEDINA MEDINA

Muujiza wa Ekaristi uliotokea wakati wa Misa iliyoadhimishwa na Askofu Claudio Gatti, huko Roma, Italia

Kurasa 6
94
sw.news

Mkuu Wa Wahubiri Wa Injili Ajiuzulu

Mnamo tarehe 2 mwezi wa Juni, Padre wa Brazil João Scognamiglio Clá Dias (77), mwanzilishi na mkuu wa Wahubiri wa Injili almaarufu kama The Heralds of the Gospel, Jumuiya ya Kimataifa ya Haki za Upapa , amejiuzulu. Jumuiya hiyo ina zaidi ya wanachama 4,ooo katika mataifa 78. Wao huishi maisha ya useja, na katika nyumba tofauti tofauti walizotengewa wanaume na wanawake. Pia wanalo tawi la ukasisi.
Scognamiglio alipatwa na kiharusi hivi maajuzi na uwezo wake umepungua sana. Haijabainika vizuri iwapo kujiuzulu kwake kuna uhusiano wowote na uchunguzi, unaodaiwa kuanzishwa na Vatikani hivi karibuni dhidi ya kikundi hicho.
Picha: Arautos do Evangelho, © Knight746, Wikipedia, CC BY-SA, #newsMxvsozbcui

142
oarielvillar

Familia Ingalls - T01C06 - El Amor de Jony Jonson.
Familia Ingalls - T01C06 - El Amor de Jony Jonson

49:37
1elfu 15
Lila San Car

Cómo le puede gustar el caitudo a Laura! Para gustos los colores!!! .🤪😍💜💙💚🖤♥️💛🧡❤️.. jajajaja! ....porque no le das un buen bofetón!!! jajajaja!!!!pobre Laura! 💔, El chico gusta de Mary!!!!

Videos para ver en Familia ameshirikisha hii

Para ver en familia

sw.cartoon

Kutokuwepo Kwa Kadinali Pell Ni Mojawapo Wa Sababu Ya Kufeli Kwa Marekebisho Ya Vatikani.
Picha: © gloria.tv, CC BY-ND, #newsAqeenwygww

124
carlos padila

NUEVA MISA CVII - MALACHI

146
Denis Efimov

Así es.

Guntherus de Thuringia

instagram.com/reel/DWvm20SDMsR/
David Icke

02:35
12
sw.news

Padre René Laurentin Ameaga Dunia

Aliyekuwa mmoja wa wanafunzi wakuu wa elimu ya kiteolojia ya Bikira Maria katika karne iliyopita, Padre Mfaransa René Laurentin, ameaga dunia. Laurentin alishiriki katika Baraza La Pili la Vatikani kama mtaalamu na alikuwa akiunga mkono masuka yasemekanayo a Maria ya Medugorje. Aliaga punde tu kabla ya kuadimisha miaka 100 ya kuzaliwa kwake, sherehe aliyopania kusherehekea mnamo tarehe 19 mwezi wa Oktoba huko Lourdes.
Picha: René Laurentin, © GianAngelo Pistoia, CC BY-SA, #newsIjuqbjkmei

109